HUDUMA ZA KIBINGWA
Posted on: December 21st, 2024Tuna toa huduma za kibingwa zifuatazo
1. Huduma ya kibingwa za watoto(paediatrics specialist)
2. Huduma ya kibingwa kwa magonjwa ya kina mama(Obstretic and gynaecology specialist)
3. Huduma za kibingwa za upasuaji(general surgery specialist).