Wametoa mafunzo leo tarehe 22/06/2021 kwa watumishi wa Hospitali ya Mkoa Sokoine ambayo yamehusisha watumishi wa kada mbalimbali, Lengo ni kuongeza uelewa kwa watumishi wa umma....Read more

Karibu katika tovuti rasmi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi-Sokoine. Tunafurahi kuwa umetembelea tovuti yetu na tunakualika ujue zaidi juu ya Sokoine RRH na utafute fursa ambazo zinapatikana kupitia hospitali yetu. Tovuti hii ni zana muhimu ya kutusaidia kujihusisha na wewe. Sokoi...
Read moreTuna toa huduma za kibingwa zifuatazo
1. Huduma ya kibingwa za watoto(paediatrics specialist)
2. Huduma ya kibingwa kwa magonjwa ya kina mama(Obstretic and gynaecology specialist)
3. Huduma za kibingwa za upasuaji(general surgery specialist).
readmorePARASITOLOGICAL UNITS
This unit is responsible for diagnosis of most parasitic organisms in urine, stool and blood. For malaria diagnosis both rapid and conventional test methods are applied. Other test done in this unit include Bence Jones proteins an...
readmoreWametoa mafunzo leo tarehe 22/06/2021 kwa watumishi wa Hospitali ya Mkoa Sokoine ambayo yamehusisha watumishi wa kada mbalimbali, Lengo ni kuongeza uelewa kwa watumishi wa umma....Read more
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna vimelea mwilini vinavyohusiana na magonjwa hayo. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni kama ya moyo na mishipa ya damu, figo, saratani, kifua sugu, kisukari, magonjw...
read moreFahamu kuhusu virusi vya Corona na ugonjwa wa COVID-19
Virusi vya Corona vimeingia Afrika Mashariki baada ya mgonjwa wa kwanza kuripotiwa nchini Kenya. Najua unaweza kuingiwa wasiwasi. Lakini usiogope.
... read more