Bodi

HOSPITALI YA MKOA YA RUFAA SOKOINE-LINDI

ORODHA YA WAJUMBE WA BODI 2025/2026-2027/2028

NA

JINA

ELIMU

CHEO

WADHIFA

1

AMINA PEMBA

SHAHADA YA SOSHOLOJIA NA SHAHADA YA UZAMILI KATIKA KILIMO NA ELIMU

AFISA KILIMO MSTAAFU WILAYA YA LINDI

M/KITI

2

DKT ALEXANDER MAKALLA

SHAHADA YA UZAMILI KATIKA UPASUAJI

MGANGA MFAWIDHI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SOKOINE LINDI

KATIBU

3

DKT HENRY KAGYA

SHAHADA YA UZAMILI KATIKA AFYA YA UMMA

OFISI YA MGANGA MKUU WA MKOA LINDI

MJUMBE

4

BEATRIX LILAI

ASTASHAHADA YA UUGUZI NA UKUNGA

MUUGUZI MSTAAFU KATIKA HOSPITALI YA MKOA SOKOINE

MJUMBE

5

DKT RAJABU OMARI SHEGILA

SHAHADA YA UDAKTARI WA BINADAMU

 MGANGA MFAWIDHI WA KITUO CHA AFYA MNAZI MMOJA

MJUMBE

6

ANGEL P. KESSY

SHAHADA YA UCHUMI WA KIMATAIFA NA BIASHARA

MWENYEKITI WA JUKWAA LA UWEZESHAJI WA WANAWAKE KIUCHUMI MKOA WA LINDI

MJUMBE

7

MBWANA MWINYIKOMBO

SHAHADA YA SAYANSI KATIKA MFUMO WA HABARI ZA BIASHARA

HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI

MJUMBE

8

MARIAM KASSIM KASHULWE

SHAHADA YA SHERIA NA SHAHADA YA JUU YA MAFUNZO YA SHERIA KWA VITENDO

OFISI YA MUENDESHA MASHITAKA YA SERIKALI LINDI

MJUMBE

9

ZUHURA ABDALLAH

KIDATO CHA NNE

MWALIMU MSTAAFU

MJUMBE

10

SEMENI MTUMWA JALIKA

SHAHADA YA UHASIBU

OFISI YA MKUU WA MKOA LINDI AFISA HESABU

MJUMBE