KIKAO CHA KUCHAGUA WAJUMBE WA BARAZA LA KAZI TAWI LA SOKOINE HOSPITALI

Posted on: April 13th, 2021

Kikao kilifanyika chini ya usimamizi wa ofisi ya kazi mkoa wa Lindi na ofisi ya TUGHE  Mkoa wa Lindi kwa kushirikiana na uongozi wa Hospitali.  Baraza lina wajumbe wanaoingia kwa wadhifa wao ambao ni ;

1.      Mkurugenzi wa Hospitali -M/Kiti

2.      Wakuu wa Idara /Kitengo 

3.      Wajumbe wengine wa kuchaguliwa ambao ni muwakilishi mmoja kutoka kila Idara ndiyo waliochaguliwa kwa kupigiwa kura. 

4.      Wajumbe wote kutoka kamati ya TUGHE tawi la Hospitali

Matokeo ya uchaguzi yalikuwa Mjumbe mmoja alichaguliwa kutoka kila Idara.  Baraza linatarajia kuzinduliwa mara baada ya taratibu za Maandalizi kukamilika.