Namna ya kutufikia

Kutokea stendi ya mabasi Lindi chukua usafiri wa bodaboda au Tax kufuata ueleeko wa  Dar-es-Salaam umbali wa kilometa tatu, utakuta bango linaloonyesha jina la hospitali lipo upande wa kulia wa barabara.