TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA MKOA WA LINDI

Posted on: June 22nd, 2021

Wametoa mafunzo leo tarehe 22/06/2021 kwa watumishi wa Hospitali ya Mkoa Sokoine ambayo yamehusisha watumishi wa kada mbalimbali, Lengo ni kuongeza uelewa kwa watumishi wa umma.