MAFUNZO KUTOKA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA MKOA WA LINDI
 
                            
                                Friday 31st, October 2025
                                
 @SOKOINE REGION REFFERAL HOSPITAL
Yametolewa mafunzo leo tar 22/06/2021 kwa watumishi wa Hospitali ya mkoa wa sokoine ambayo yamehusisha watumishi wa kada mbalimbali, Lengo ni kuongeza uelewa kwa watumishi wa umma






